TAZAMA PICHA 5 ZA 'AZZAM': MELI BINAFSI KUBWA ZAIDI DUNIANI !!

3:29:00 AM

Azzam imekamata nafasi ya kwanza ikiipita 'ECLIPSE' inayomilikiwa na tajiri wa Chelsea Abromovich iliyokuwa ikishikilia rekodi hiyo.Azzam ina urefu wa mita 180 (sawa na futi zinzokadiriwa 600) na inaizidi Eclipse kwa mita 17.
Hata hivyo mmiliki wa meli hii bado hajawekwa wazi lakini inasadikika ni kutokea mashiriki ya kati (middle east).Ifahamike pia kuwa 'AZZAM' ni jina la meli hiyo na hakuna uhusiano na brand ya Bakhressa iitwayo 'AZAM'.

You Might Also Like

0 comments

If you like this post be sure to leave a comment and share with your friends.It will make my day....

About The Author

My photo

Am a young Tanzanian photographer, technology enthusiast with a long time passion for photography, film and advertising.

I also love to write about different subjects including photography, entrepreneurship, technology and personal development because these are the things that I am passionate about and literally sums up my life. 

Holla at Me

Name

Email *

Message *