NAMNA 5 UNAVYOWEZA KUKUZA BIASHARA YAKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII

Mitandao ya kijamii imekua sehemu ya maisha ya watu wengi sana katika miaka ya hivi karibuni kwa kuwa inatusaidia kawasiliana na marafiki zetu na kupata habari mbalimbali. Inakadiriwa kuwa kwa wastani mtu hutumia zaidi ya masaa matatu kila siku katika mtandao. Kutokana na idadi mkubwa sana na watumiaji, mitandao hii anatumiwa na makampuni mbalimbali katika kutangaza biashara zao. Lakini sio tu kwa makampuni ama biashara kubwa, hata wewe unaweza kutumia fursa hiyo kutangaza na kukuza biashara yako. Hebu jiulize una marafiki wangapi katika mitandao ya kijamii? Hivi ulishawahi kujiuliza biashara yako ingekuwa kwa kiasi gani kama ungeweza kuwashawishi marafiki zako kuwa wateja wako? Kama bado usihofu, katika hii makala nitakuelekea mambo kadhaa yanayoweza kuwa msingi mzuri wa kuanzia.


Unaweza kuanza na kufungua Fan Page katika Facebook kwa sababu ndio mtandao wenye watumiaji wengi zaidi duniani, lakini kulingana na ni mteja wa aina gani unahitaji kumfika unaweza kufungua katika mitandao mingine ikiwemo Instagram, Twitter, LinkedIn, Tik Tok nakadhalika..

Unachopaswa kufanya..

Baada ya kufungua page,wainvite marafiki zako ambao wanaweza kuwa potential customers. Link na website yako kama unayo na kama huna soma umuhimu wa kuwa na website kwa ajili ya biashara yako.Vilevile unaweza kuweka signs kwenye duka ama ofisi yako ili watu wajue address ya kufika page yako. Kwa mfano www.facebook.com/BrainBongoCo

Pili, unaweza kutangaza biashara yako kupitia "sponsored ads", huduma inayotolewa na Google pamoja na Facebook (sasa hivi Meta). Hivi ndivyo inavyofanya kazi; unachagua jinsia, umri, na location ya watu ambao unawatarget halafu unalipia either kwanya kutumia pay pal,master card au huduma zingine za utumaji fedha katika mtandao. Okay, hii inaweza kuonekana process ndefu na ngumu ila kuna kampuni inayojihusisha na SOCIAL MEDIA MARKETING wanaweza kukusave the trouble,ukawalipa wao wakatake care of the rest. Kwa kutumia njia hii unawaweza ukajua ni watu wangapi umewafikia.
Vilevile, unaweza ukafungua blogu (blog) kwa ajili ya kuwa unapost information mbalimbali kuhusiana na product/services unazotoa kwa urefu zaidi.

Ziko njia mbalimbali ambazo unaweza kuitumia mitandao ya kijamii kutangaza na kukuza biashara yako na hizi ni chache tu. Ningependa kujua njia zingine kutoka kwako kwa kuacha comment yako hapo chini. Cheers!

Geofrey Mtatiro

I'm a storyteller by trade but a problem-solver by birth. I find creative ways to tell stories of Individuals, Brands, Businesses & Organizations through Photography, Film Production & Advertising. In 2012, I founded BRAINBONGO to do just that while still in high school with the help of a few friends. Through the years, we have become really good at it. We love it and we live it. We are #EXTRAORDINARY!

Post a Comment

If you like this post be sure to leave a comment and share it with your friends. It will make my day!

Previous Post Next Post

Contact Form