KUTANA NA LYNDSEY SCOTT: NI SUPER MODEL,ACTRESS & COMPUTER GEEK!

11:41:00 AM

Lyndsey Scott in mlimbwende mwenye umri wa miaka 29,raia wa Marekani ambaye pamoja na kuwa model pia ni mtaalamu wa computer ( computer geek). Mpaka sasa amekwisha kazi na makampuni makubwa ya mitindo duniani ikiwemo Louis Vuitton,Prada,Gucci,Victoria's Secrect na Calvin Klein.Mrembo huyu pia ni computer programmer ambaye hutumia muda wake wa ziada kutengeneza mobile application kwa ajili ya iOS.


Application maarufu aliyoitengeneza inayoitwa iPort ambayo husaidia watu mbalimbali kama wanamitindo,waigizaji,wanamuziki kutengeneza professional portifolio zao.Hapo chini ni video ya Lyndsey Scott akiitambulisha app yake ya iPort.....
Important:You are allowed to re-post this article on your website or blog as long as you acknoweledge the original author and give the backlink to this site.

You Might Also Like

0 comments

If you like this post be sure to leave a comment and share with your friends.It will make my day....

Featured Post

MY LOVE LETTER TO THE OCEAN - A GEOFREY MTATIRO STORY

Say Hello

Name

Email *

Message *