KUTANA NA LYNDSEY SCOTT: NI SUPER MODEL, ACTRESS & COMPUTER GEEK!


Lyndsey Scott in mlimbwende mwenye umri wa miaka 29, raia wa Marekani ambaye pamoja na kuwa model pia ni mtaalamu wa computer ( computer geek). Mpaka sasa amekwisha kazi na makampuni makubwa ya mitindo duniani ikiwemo Louis Vuitton,Prada,Gucci,Victoria's Secret na Calvin Klein.Mrembo huyu pia ni computer programmer ambaye hutumia muda wake wa ziada kutengeneza mobile application kwa ajili ya iOS.


Application maarufu aliyoitengeneza inayoitwa iPort ambayo husaidia watu mbalimbali kama wanamitindo,waigizaji,wanamuziki kutengeneza professional portifolio zao.Hapo chini ni video ya Lyndsey Scott akiitambulisha app yake ya iPort.....




Important:You are allowed to re-post this article on your website or blog as long as you acknowledge the original author and give the backlink to this site.

Geofrey Mtatiro

I'm a storyteller by trade but a problem-solver by birth. I find creative ways to tell stories of Individuals, Brands, Businesses & Organizations through Photography, Film Production & Advertising. In 2012, I founded BRAINBONGO to do just that while still in high school with the help of a few friends. Through the years, we have become really good at it. We love it and we live it. We are #EXTRAORDINARY!

Post a Comment

If you like this post be sure to leave a comment and share it with your friends. It will make my day!

Previous Post Next Post

Contact Form