DUBAI'S ROTATING SKYSCRAPPERS

           Inashangaza kwa sababu sio kitu cha kawaida na sina hakika ni watu wangapi walishaawahi kulifikilia hili kabla ya David Fisher,msanifu wa jengo unaloliona hapo juu.Ni Dynamic Rotating Towers,skyscrappers za kwanza duniani kuwa na uwezo wa kurotate periodically ambazo kwa sasa sio tena potential project; bali ujenzi ulishaanza so soon itakuwa  reality.Zinajengwa huko Dubai na Kampuni ya Rotating Tower Dubai development,Ltd kwa kushirikiana na Dynamic Group.

    Kampuni  kandarasi imeweka wazi design ya floors na kubainisha kuwa jengo hilo litakuwa na floor 80 na urefu wa mita 420.

           The Dynamic Tower is environmentally friendly, with the ability to generate electricity for itself as well as other buildings nearby making it the first building designed to be self-powered, it achieves this feat with wind turbines fitted between each rotating floor.


Huyu hapa ndiye architect aliye design hayo majengo,David Fisher.

 
VIDEO INAYOONYESHA THE ROTATING SKYSCRAPPERS.

Geofrey Mtatiro

I'm a storyteller by trade but a problem-solver by birth. I find creative ways to tell stories of Individuals, Brands, Businesses & Organizations through Photography, Film Production & Advertising. In 2012, I founded BRAINBONGO to do just that while still in high school with the help of a few friends. Through the years, we have become really good at it. We love it and we live it. We are #EXTRAORDINARY!

Post a Comment

If you like this post be sure to leave a comment and share it with your friends. It will make my day!

Previous Post Next Post

Contact Form